D BANJ LIVE IN DAR ES SALAAM NOV.28
Mwanamuziki kutoka Nigeria katika lile jiji la Lagos anatarajia kutua Dar es Salaam na kupiga show kubwa itakayofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers Grounds -Kawe. Hii show ambayo itapambwa na wasanii kibao kutoka Kenya na Uganda bila kusahau hapa nyumbani Tanzania. Show hii imedhaminiwa na chapa kubwa katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini ijulikanayo Str8Muzik.
Onyesho hili ambalo limepewa jina la "STR8MUZIK FESTIVAL -Inter-College 2009" dhumuni lake ni kuwakutanisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini ndani ya siku hiyo husasai hapa Dar es Salaam
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !