Marehemu Kanumba nae alimpiga LULU(Ana Maumivu na majeraha mengi usoni) - BIGTYME
Headlines News :
Home » » Marehemu Kanumba nae alimpiga LULU(Ana Maumivu na majeraha mengi usoni)

Marehemu Kanumba nae alimpiga LULU(Ana Maumivu na majeraha mengi usoni)

Written By Appleconnect on Apr 9, 2012 | 11:53 AM


Kuna habari zimenifikia sasa hivi zinasema kuwa LULU(pichani) bado yupo kituo cha polisi kwa mahojiano ila inaonyesha kama nae ana majeraha mengi usoni! na kuonyesha kuugulia na maumivu! sasa tunashindwa kujua kama LULU nae alipigwa na kanumba au? Chanzo kinasema kuwa LULU na Marehemu Kanumba  walikuwa wapenzi wa muda mrefu, na chanzo cha ugomvi  ni simu ! LULU alipigiwa simu kuitwa sehemu ! hali ambayo Marehemu Kanumba hakupendezewa nayo!
 
aiseee huyu mtoto



updates sasa Lulu(hot Lulu)yupo kituoni police
na mahututi kwani anamaumivu na majeraha mengi sana usoni,lulu kapasuliwa pia na Kanumba,hawa watu walikuwa wapenzi wa muda mrefu,chanzo ni simu jamani,kanumba aliona lulu anapigiwa simu za kuitwa sana kwenye madili,sasa jamaa(marehemu Kanumba)akashikwa wivu,duuu mapenzi ni hatarii.Chanzo:http://www.prettysintah.blogspot.com/
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. BIGTYME - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Sopsop Media