*Tunaomba Radhi Kwa Taswira Ya Picha Hii 

Picha juu ni Mwili wa Muingizaji Bora Wa Bongo Movies Marehemu Steven Kanumba Ukiwa hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam Muda Mfupi kabla  ya kupelekwa chumba cha maiti(Muchuari)Usiku wa Kuamkia leo.

Kanumba R.I.P
 kwa hisani ya  jg.blog