Wakati hit maker wa my last feat ft Chriss Brown, Big Sean akiwa
hotelini huko London akirekodi ngoma zake ndani ya hotel
familia ya mfalme ilkuepo ndani ya hotel hiyo.
Big Sean yuko London akirekodi GOOD MUSIC compilation
na Mtu mzima Kanye West na washikaji wake ambao wako nae label moja.
Walichukua floor ya juu kabisa kumbe familia ya mfalme
ilikuwepo pande hizo hizo ambapo waliteseka sana na fujo
za washkaji waliokua kwenye hotel hiyo wakirekodi ,
wakiwa wamefungulia muziki kwa sauti kubwa sana.
Wakati wa interview na DJ Drama Big Sean alisema
familia ya mfalme walipiga simu kwa uongozi wa hotel
wakilalamikia usumbufu wanaopata hapo hoteli wamefungulia
rap muziki kwa sauti ya juu sana huku wakinusa harufu ya
bangi na walikua wajazoea .
Big Sean anasema “ Tulikua London karibia na
Buckingham Palace na familia ya mfalme ilikuwepo
pale na ile floor ya juu tuliifanya kama sehemu ya kurekodia ,
Big Sean hajui lini mzigo huo utatoka bado ni mapema sana,
Amefanya ngoma na Frank Ocean , walikua wana recording
session tofauti na Frank Ocean kwa ajili ya album yake ya kwanza
ya Final Famous.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !