Kuna habari zimenifikia sasa hivi zinasema kuwa LULU(pichani) bado yupo kituo cha polisi kwa mahojiano ila inaonyesha kama nae ana majeraha mengi usoni! na kuonyesha kuugulia na maumivu! sasa tunashindwa kujua kama LULU nae alipigwa na kanumba au? Chanzo kinasema kuwa LULU na Marehemu Kanumba walikuwa wapenzi wa muda mrefu, na chanzo cha ugomvi ni simu ! LULU alipigiwa simu kuitwa sehemu ! hali ambayo Marehemu Kanumba hakupendezewa nayo!
aiseee huyu mtoto |
updates sasa Lulu(hot Lulu)yupo kituoni police
na mahututi kwani anamaumivu na majeraha mengi sana usoni,lulu kapasuliwa pia na Kanumba,hawa watu walikuwa wapenzi wa muda mrefu,chanzo ni simu jamani,kanumba aliona lulu anapigiwa simu za kuitwa sana kwenye madili,sasa jamaa(marehemu Kanumba)akashikwa wivu,duuu mapenzi ni hatarii.Chanzo:http://www.prettysintah.blogspot.com/
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !