Ilikuwa ni vilio, simanzi isiyo na kifani kuanzia saa 6 usiku wa kuamkia leo kutoka kwa wasanii na wadau mbalimbali waliokwenda kushuhudia msiba wa msanii mkongwe wa filamu, Steven Kanumba katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili dakika chache baada ya mwili huo kufikishwa hospitalini hapo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi
COURTESY GLOBALPUBLISHERS.INFO
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !