DIAMOND NA WEMA SEPETU NDANI YA MOVI
Written By Appleconnect on Nov 1, 2012 | 10:44 AM
Nassib Abdual alias Diamond Platnumz ambaye ni msanii anayetamba kwa sasa kwa show zake kali ndani ya kiwanda cha Bongo Flavour. Msanii huyu kwa mara kwanza ataanza kuonekana katika movie za kibongo. Katika movie hiyo ambayo inakwenda kwa jina la “Cross of Love” utapata kumuona Diamond akiwa na mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.
Labels:
celebz,
LOCAL NEWS,
must see
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !