MTANDAO WA BIGTYME MAGAZINE UMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA KIFO CHA MSANII HUSSEIN MKIETI AKA SHAROBARO KUTOKA BONGO MOVIE.
AMA KWELI SOTE WAPITA NJIA ILA INAUMA SANA KUONA KIJANA MWENZAKO
AMEFIKIA KIKOMO CHAKE KATIKA UMRI WA UJANA ILA YOTE
MIPANGO YAKE MAANANI.
MTANDAO HUU UNATOA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WALIOFIKWA NA MSIBA HUU
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !