Rihana atoa siri zake za mapenzi - BIGTYME
Headlines News :
Home » » Rihana atoa siri zake za mapenzi

Rihana atoa siri zake za mapenzi

Written By Appleconnect on Jul 6, 2011 | 12:47 PM


Mwanamuziki maarufu, Rihanna, amefunguka na kuyasema ya moyoni mwake hususani siri yake kuhusu mambo a.k.a flavas anazozipenda kwa mwanaume, vitu gani vinavyoweza kumfanya awe crazy kwa mwanaume na kwa ujumla kwa nini anaweza kum-date mwanaume fulani.
Rihanna amefananisha suala la ku-date a.k.a mahusiano ni kama mawindo na kwamba kama ambavyo wanaume wanawinda, hata yeye anawinda!

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 23 anasema, wanaume wakiwa na ma-sweet wao wanapenda mambo fulani a.k.a vionjo kama si mahanjumati, na kwamba, yeye akipata hiyo nafasi huwa hafanyi makosa, upo?


Rihanna amelieleza jarida la Cosmopolitan la Agosti mwaka huu kuwa, yupo wazi sana kwenye mapenzi, wanaume wanapaswa kuridhika kwa sababu wengi wao wakipewa hiki wanataka na kile.

Binti huyo mwenye mvuto kwenye industry ya music anasema, ingawa habagui when it comes to luv, anapenda zaidi kujirusha na jamaa aliye kwenye sekta ya burudani kwa sababu ndiye anayeelewa zaidi michongo yake yake.

Mpenzi huyo wa zamani wa mwanamuziki Chriss Brown anasema, huwa anakuwa bored haraka hivyo akipata mwanaume anayemchekesha inakuwa mwake sana.

Rihanna anasema, kuna mambo mengi yanaweza kusababisha mwanaume fulani amvutie, ikiwa ni pamoja na muonekano wake, na uwezo wake wa kupambanua mambo.


Soma hapo chini


Rihanna has revealed her dating secrets - and says the laws of attractions are just the same as those of the hunter and his prey - though she sees herself as a hunter too.


Although remaining coy on whether or not she's courting, the 23-year-old S&M singer says men like the thrill of the chase when it comes to pursuing a mate - and she likes to keep them on their toes too.


Talking in the new issue of Cosmopolitan magazine, she said: 'I’m open to love. But guys should have to earn it. Because the minute they get it, they want something else.


'Men are like hunters; they like the chase. So you have to keep ’em guessing. Actually, I’m like that too.


I get bored quickly. So if someone can make me laugh, that’s the best.'


She also revealed that she struggles to reveal her softer side, saying: 'For me, it’s tougher tobe vulnerable than to be tough.'


However, Rihanna added that she found it easier to become romantically involved with somebody who also worked in showbusiness as they understood how her life worked.


She explained: 'It can definitely be intimidating to guys to date someone in this industry. And it’s really hard to find a guy who doesn’t care about that stuff.


'Right now, it’s easier just having my career to focus on.'


However, the Bajan star said that she didn't have a specific type.


She mused: 'I’m turned on to a guy by different things. It could be the way he looks. It could be his intelligence. It’s really a spontaneous thing.'
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. BIGTYME - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Sopsop Media