Natafuta Mchumba
Naitwa Lulu, ni mkristo na kwasasa nipo nje ya nchi kimasomo. Natafuta mchumba (mwanaume) ambaye ni mkristo mwenye miaka kuanzia 27 - 40. Mchumba ninayemtafuta awe serious na ambaye yupo tayari kuanzisha familia hivi karibuni, mwenye elimu ya chuo, mpole, mkweli na mstaarabu. Aliye tayari aniandikie kwenye email address: lulujacksoni@yahoo.com
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !