DIAMOND NA WEMA SEPETU NDANI YA MOVI - BIGTYME
Headlines News :
Home » , , » DIAMOND NA WEMA SEPETU NDANI YA MOVI

DIAMOND NA WEMA SEPETU NDANI YA MOVI

Written By Appleconnect on Nov 1, 2012 | 10:44 AM

Nassib Abdual alias Diamond Platnumz ambaye ni msanii anayetamba kwa sasa kwa show zake kali ndani ya kiwanda cha Bongo Flavour. Msanii huyu kwa mara kwanza ataanza kuonekana katika movie za kibongo. Katika movie hiyo ambayo inakwenda kwa jina la “Cross of Love” utapata kumuona Diamond akiwa na mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.
Latest Infoz kutoka kwa Platnumz ni kuwa zimebaki scene kama 15 waweze kumaliza movie hiyo ambayo imeandikwa na kuwa directed by Seles Mapunda. Katika movie hiyo pia utapata nafasi ya kumuona swahiba wa Diamond, Ommy Dimpoz. Hivyo mashaniki wa Diamond mkae tayari kumpokea katika upande huu wa pili wa filamu kama atatusua na huku.
SOURCE : BABKUBWA MAGAZINE WEBSITE
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. BIGTYME - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Sopsop Media