HUSSEIN MACHOZI AFANYA COLLABO NA D’BANJ - BIGTYME
Headlines News :
Home » , » HUSSEIN MACHOZI AFANYA COLLABO NA D’BANJ

HUSSEIN MACHOZI AFANYA COLLABO NA D’BANJ

Written By Appleconnect on Nov 1, 2012 | 10:42 AM


Kati ya wasanii wengi wa Bongo Flavour ambao wamefanikiwa vizuri kupitia muziki wao, Hussein Rashid alias Hussein Machozi ni mmoja wao.
Hit maker wa ‘Kwa ajili yako‘, Hussein Machozi ambaye kwa sasa anatatamba na ngoma yake kwa jina la “Addicted” anatarajia kutoka na ujio mpya hivi karibuni.
Msanii huyu anatarajia kuachia ngoma yake aliyompa collabo mkali kutoka Nigeria D’Banj. Na kuhusu jina la ngoma hiyo Hussein amesema ameweka kama Suprise kwa mashabiki wake. Hivyo mashabiki mkae tayari kuipokea collabo hiyo.
SOURCE : BABKUBWA MAGAZINE WEBSITE
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. BIGTYME - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Sopsop Media