Unajua kuwa watu wazima, akina baba na masharubu yao, au hata akina mama na vyeo vyao ni vikojozi?
Wataalam wanasema karibu watu wazima wote wamewahi kukoja vitandani wakiwa usingizini.
Utafiti unaonyesha wanaume wanaongoza kwa kuwa vikojozi ,Wanaume wengi hujikojolea usiku.
Lakini kwanini mtu mzima na heshima zake au msichana mrembo awe na matatizo ya kukojoa kitandani?
Daktari Zaki Almallah , mtaalam wa vibofu vya mikojo anasema taiba ya watu wazima kuwa vikojozi inarithishwa, kama baba au babu alikuwa kikojozi basi kuna uwezekano wa asilimia 40 kwa mtoto au mjukuu kuwa kikojozi ukubwani.
Habari kutoka Shirika la Kimataifa la habari BBC inasema ,Wataalam katika Hospitali ya Birmingham nchini Uingereza wameeleza sababu nyengine ni kutokomaa kwa tezi pituitary gland inayopatikana ndani ya ubongo chini ya sikio.
tezi hii hutoa homoni yakje a chembe cheme zake wakati wa usiku hivyo kuzuia utengenezaji wa mikojo. hivyo tezi hiyo ya pituitary gland ikiwa dhaifu au haikukomaa basi chembe chembe hizo zitatuma ujumbe kuwa mikojo zaidi itengenezwe, hivyo basi mtu kuwa na baala ya kujikojolea akiwa amelala maana ni lazima zitoke.
Tanzania inaidadi kubwa zaidi ya watu wazima wanaokojoa vitandani kuliko kenya na hata Uganda?
Tanzania ina watu wazima vikojozi, laki 5 ! Kenya inafuata karibu kabisa kwa kuwa wanaume na wanawake laki laki 4.
Wanasayansi wanasema tatizo hilo la watu wazima kukojoa ni kubwa na linasumbua wengi lakini kwa sababu ni jambo la aibu wengi hawataki kulijadili.
Kuna mameneja wabunge na hata mawaziri ambao ni vikojozi
Takwimu zinasema kwamba katika kila watu wazima 100, mmoja wao ni kikojozi.
hivyo nchini ikiwa na idadi ya watu milioni 50 kama Tanzania, basi jua kuwa watu wazima laki 5, yaani watu nusu milioni wanaokojoa wakiwa usingizini.
source: annapita.blogspot.com
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !