CHANZO CHA KIFO WA KANUMBA HIKI HAPA - BIGTYME
Headlines News :
Home » » CHANZO CHA KIFO WA KANUMBA HIKI HAPA

CHANZO CHA KIFO WA KANUMBA HIKI HAPA

Written By Appleconnect on Apr 7, 2012 | 9:53 AM


KWA MUJIBU WA MDOGO WA MAREHEMU STEVE KANUMBA, ALISEMA KUWA ELIZABETH MICHAEL  MAARUFU KAMA LULU ALIKUJA NYUMBANI KUKAWA NA KAUGOMVI AMBAPO WAKAINGIA CHUMMBANI WAKIWA HUKO BAADA YA MUDA,LULU ALITOKA NA KUMUITA YEYE  KUMUAMBIA KANUMBA KAANGUKA, YE ALIPOENDA AKAMKUTA KAANGUKA NDIO AKAENDA MUITA DAKTARI WA KANUMBA AMBAPO ALIPORUDI HAKUMKUTA LULU, LAKINI  HADI TUNAVYOONGEA LULU YUKO POLISI OSTERBAY KWA AJILI YA MAHOJIANO NA POLISI
Lulu ndio huyu
  
Inasemekana Lulu aligombana na marehemu Kanumba ambaye inasemekana alikuwa mpenzi wake baada ya kukutwa akiongea na mwanaume mwingine kitendo ambacho kilimuudhi marehemu.. Lulu anasemekana kumsukuma marehemu na ndipo alianguka na umauti kumfikia jana usiku...
 R.I.P Steven Kanumba
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. BIGTYME - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Sopsop Media