Ni Muda huu Ambapo Ndugu Jamaa na Marafiki wameanza kufika nyumbani kwa Marehemu Kanumba ambae amefariki Dunia Masaa machache yaliyo pita.
VITU VIMESHATOLEWA SITTING ROOM KUMAANISHA KWELI HATUNAE
KUANGUKA KWA WASANII WENZIE NA KUZIMIA .....Jacquline Wolper huyo
ile kumi alfajiri tayari wasanii karibia wote walishafika
watu ni wengiii mnooooo
vyombo vya habari karibia kila kona
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !