MSANII SAJUKI WA BONGO MOVIE AFARIKI
Written By Appleconnect on Jan 2, 2013 | 9:34 AM
STAA wa filamu za Kibongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala, Rajabu Amiri ni kwamba hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen!
Labels:
LOCAL NEWS,
must see
jaman Sajuki!!kwa kwel umeondoka kipindi taifa linakutegemea saana!pumzika kwa aman ndugu yetu!May your soul rest in peace
ReplyDeleteMungu ailaze roho yake mahali pema pepon..amen
ReplyDelete